Interview with Alexander Ogoche Ayo in Buturi

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.
Photograph of Alexander Ogoche Ayo at interview
Photograph of Alexander Ogoche Ayo at interview
00:00
00:00

Title

Interview with Alexander Ogoche Ayo in Buturi

Creator

Alexander Ogoche Ayo, Jan Bender Shetler, Zedekia Oloo Siso

Contributor

Nyamusi Magatti (transcriber), Daniel Shetler (videographer)

Description

Alexander Ogoche Ayo talks about preserving the good traditions of the past and its importance for people's lives today. He describes the wars that were fought, migrations and the famines that led to new boundary formation when the colonial officers came and appointed chiefs. He describes the changes in conflict between groups and in leadership with the colonial government and then to independence.

Language
Luo
Swahili
Ethnicity
Turi
Sex

Male

Date Original

25 July 2007

City

Buturi

District
Rorya
Region
Mara
Country

Tanzania

Theme
Cultural Memory
Democracy and Diversity
Subject
Disease
Group names
Knowledge
Leaders
Migration
Relations with others
Original Format
Interview
Digital Format

video/mp4

Source

Jan Bender Shetler Collection, Goshen College

Publisher

Goshen College

Rights Management

Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International (CC BY-NC-SA 4.0)

Contributing Institution

Jan Bender Shetler; Goshen College; Matrix: Center for Digital Humanities and Social Sciences at Michigan State University

Biography

Alexander Ogoche is a black tail elder. He is the son of Ayo, son of Obunge, son of Waligi, son of Tegwa, son of Kegina, son of Onyango, son of Otieno Nditi, son of Mlowa. Mlowa had three, 4 children Miswa, Onyango, Ochieng, Otieno. The father of Mlowa was Ochieng, from Omolo. Alexander Ogoche went to Geita to work in the mines as a youth and then to other mines in Musoma. In WWII he was recruited and in1939 fought the Italians. In India and Rangoon, Burma he fought the Japanese and was there for three years. He was in company 29 brigade. Fighting for the Europeans was bad. Soldiers didn't get their share and were not paid their pension after. Alexander Ogoche was taught history by his father, who was taught by his father who was taught by his father. History was taught to children. But then the schools and the priests came from Nyegina and the children got Christian names. The Turi chief Odemba sent the children to school. Alexander had his education in the old ways because he couldn't go to school.

Transcript

I222 Alexander Ogoche Ayo, Buturi, 25 July 2007, (Turi). In Swahili and Luo. Interviewed by Jan Bender Shetler and Zedekia Oloo Siso. Transcribed by Nyamusi Magatti. A: mimi ni Alexandra Ogoche Jan: Alexandra haha A: baba Ayu B: Ayu Jan: Ayu A: baba wa Ayu ni Obunge Jan: haha B: Obunge Jan: Obunge haha A: Obunge mtoto wa Waligi Jan:Waligi B: Waligi A:Waligi baba yaye Tegwa B: Tegwa Jan: Tegwa haha basi A: Tegwa baba yake Kigina Jan: Kigina haha A: baba ya Kigina ni Onyango Jan: Onyango haha A: baba ya Onyango ni Otieno Jan: Otieno haha B: ndiye Otieno Nditi Jan: Nditi A: Otieno mtoto wa Mlowa Jan: sawa A: hapo ndio, watu wa Ingri yetu hapa ni watu wa B: Milowa A: Ine, wa Milowa na Milowa mtoto wa Ochieng’, baba yake Ochieng’ Jan: sawa sawa kwahiyo kati ya watu hawa wa Walowa wewe ni mlango wa A: Milowa ndio baba yetu Jan: haha A: kwa watu wa tatu Jan: sawa A: ndio baba ya Miswa, baba ya Onyango, baba ya Yang’a na Ochieng watu wanne Jan: haha sawa B: baba ya Onyango, baba ya Miswa A: sasa we nyaro Miswa na Onyango ni watoto wa Ochieng’ Jan: mmh A: na Otieno ndiyo mtoto wa Milowa Jan: ooh ok Miswa, Onyango A: baba yao ni Otieno na Otieno ndiyo mtoto wa Milowa ndiyo watu wa Ingri yetu hapa Jan: ok sawasawa A: hata Milowa baba yake Ochieng Jan: baba wa Milowa A: ni Ochieng’ Jan: sawa kutoka wapi? A: baba wa Ochieng’ Omolo Jan: ipo wapi A: hii yetu hapa Jan: hii? A: mimi bado nahesabu ukoo wa hapa Jan: ok sawasawa haya na katika ukoo wako ulikuwa na cheo fulani A: uanjua sasa naita ni Buturi Jan: Buturi sawasawa A: ndiyo mimi naonyesha wewe watu wa Buturi Jan: sawasawa A: bado hatujaingia pahali pengine Jan: sawa ok na labda useme kidogo katika maisha yako ulikuwa nini? A: hiyo hapo mimi nasimama tu hapo ndio watu wa Ingri yetu hapa Jan: haha A: kama wewe ulikuja hapa si unasema kwamba unakuja Buturi Jan: haha A: hawa ndio watu wa Buturi wanakwisha Jan: haha A: kama wewe unataka kujua kama sisi tulivyotoka Kenya mimi naendelea tu Jan: sawa A: lakini kama unataka watu wa Buturi peke yao ni hapo Jan: sawa B: sasa swali langu ni hivi kwako mimi najua kwamba, mimi nakuitaje wew ni baba yangu ama ni babu yangu A: tunavyoitana? B: eeeh A: in dhok liunda na B: mimi ni mtoto wa mjukuu wako A: koro kani idwaro kori B: sasa huyu alikuwa anauliza wewe kwanza ulifanya kazi gani tokea ulipozaliwa A: Mimi tangu utoto nilikwenda kazi huko Geita kazi ya “mine” Jan:ok A: ninafanya kazi ya “mine” ya michanga Jan: haha A: kutoka hapo unarudi hapa nyumbani Jan: haha A: tena narudi tena kwenye mine Kungu hapa ng’ambo hapa Musoma nafanyia kazi Jan: ni “mine” tena? A: eeh kutoka hapo mi arudi nyumbani hapa naoa Jan: haha A: kama nimeshaoa naenda kwa vita Jan: vita ya pili? A: eeh themanini na tisa ndiyo sisi tulipigana Jan: themanini na? A: si ile vita iliyoanza themanini na tisa B: elfu moja mia tisa thelathini na tisa Jan: thelathini na tisa, ok sawasawa A: eeh hiyo ndiyo vita ambayo mimi nilikwenda Jan: ulienda wapi? A: mimi kama nilifika huko nilipata watu wametangulia mbele wanakamata “talyam” na sisi tunaanza kupita baharini tunakwenda ng’ambo India Jan: haha A: tunafika mpaka Rangon Jan: Rangon India A: upande wa Japan Jan: Burma A: eeeh sisi tunakwenda mpaka Burma tunakamata watu wa Japanese Jan: haha A: tunamaliza vita hapo Jan: haha ulikaa kwa miaka mingapi A: tatu huko ng’ambo Jan: eeh ilikuwa ngumu? A: (laughing) ilikuwa mpaka ukamate adui kama umeshakamata basi unamaliza vita basi unarudi Jan: haha hii company yako iliitwaje? A: sisi ilikuwa Burgedia 29 ndio ilipita kusaidia ile forcé ambayo ilikuwa 28 burgedi Jan: mmh A: hivyo ndivyo inavyokwenda force 28 Burgedia inakwenda nyuma sisi tunaenda mbele Jan: lakini mlionaje kupiga vita kwa ajili ya wazungu A: tuliona vibaya sana kwa maana adui kama anatuona sisi na mzungu yeyé anafika kwanza kwa mzungu halafu wanapiga risasi. Ni kwa vita wazungu walishinda wazungu wanaanza kuchukua rangi nyeusi ndiyo wanapaka kwenye shingo na macho na kuwa weusi kama sisi Jan: haha lakini Japanese waliwapiga pia? A: eeh Japanese walitusumbua sisi sana, wewe kama unakamata adui huwezi kuzungumza na yeye, wewe unafunga tu mkono wake vilevile unapotembea naye unatembea naye kama miti zile kama anakaa karibu jinsi tunavyokaa karibu na wewe hapa unampiga mara moja na unafunga chini Jan: eeh A: ilikuwa ni ngazi ngumu Jan: kazi ngumu A: lakini watu wa serekali walikuwa wanasema malipo yetu yankuja lakini tunaikosa sasa tunauliza malipo yetu yanaenda wapi? Jan: haha A: malipo ya watu wa vita Jan: haha A: sasa tunangoja malipo yetu lakini mpaka sasa hatujapata Jan: eeh A: wewe unaweza ukatupa barua kwenda mbele na askari bado hajapata malipo? Jan: eeeh siwezi B: sasa mzee maneno haya ambayo ulikuwa unatuambia wewe ulifundishwa na nani? A: hayo maneno ambayo mimi nakuambia zinakaa kama kumbukumbu kwa watoto B: ulizipata wapi? A: nilizipata kwa baba, na baba vilevile alipata neno zote kwa baba yake Jan: lakini ni wakati gani ambao alianza kusimulia? B: yani sa mane gi chako negi puonji ka in kanye? A: neno hii ilikuwa ni desturi yetu, watu weusi wanapenda kufundisha watoto wao Jan: mmh A: kila mtu baba yake anamfundisha maneno ambayo walikuwa nayo unamwachia mtoto wako Jan: haha A: mimi maneno haya ambayo nawaambia, ulikuja kwa shule hapa Heko na Padre alitoka Nyegina, sisi tunaingia shule hapo ndio mimi napata jina la Alexandra lakini kama chief wetu Odemba unaingia halafu unachukua watoto shuleni yule mkubwa wetu Nyerere ndio rika yangu lakini shilingi kumi ilinikosa mimi bila kufika huko shuleni tulibaki. Na wale ambao baba yao walikuwa nao walikwenda na kusoma na Nyerere pamoja shuleni Jan: haha A: na mimi nilibaki. Nyerere ndiyo rika yangu, sasa mimi nilivyobaki sasa nilianza kutembea kwa wazee wa nchi hii Jan: mmh A: kwa neno ndiyo kazi mimi nilikuwa nafanya Jan: sasa Baba anakufundisha neno hii Nyumbani ukikaa naye? A: aaah Jan: lakini uliona wazee wengine wanakaa A: kama Baba akishakufa unatembea katika nchi yetu hapa kwa wazee wakubwa ambao walikuwa wanakuja kujenga hapa ndio walinifundisha maneno yote Jan: kwahiyo wazee wanakuja kwa wakati gani ni kwasababu waliona shida ndio maana wakaanza kuzungumza mambo ya zamani A: mimi nilikuwa nauliza kwasababu hii ilikuwa inakuwa kama masomo yangu, baada ya kukosa kwenda shule sasa mimi nilikuwa Napata shule ya nje kwa wazee B: kama ninavyofanya kwako? A: sasa mimi niko hapa huyu Zedekia anakuja ananiuliza sasa mzee hivi inakuwaje au watu walijenga hapa mwaka gani? Ndio mimi namwonyesha Jan: haha A: mtu mwingine akiwa anakuja kama Zedekia na yeyé pia namwonyesha, mimi nakuwa kama mwalimu kwa mambo yetu hayo Jan: haya lakini hii masomo inaweza ikasaidia watu na nini, kwanini nyinyi wote mlipenda sana kujua hii masomo? A: masomo B: aaah neno hili, ere berne, ndio anayokuuliza unaona ni uzuri gani? A: awego jo mathindo kech abiro dho. B: anasema hapa ni desturi yetu kwamba unawapa kitu kama urithi kuelewa mambo ya zamani Jan: lakini labda inatokea matatizo fulani sasa labda wazee wanakuja kuuliza, sasa hii ilikuwaje zamani ili watatue tatizo Fulani hii imetokea au haitumiki hivyo B: openjo nia ka gi marach no wouk egweng’ bende jodongo ne dhi kuom jaduong’koro gi penji gimoro kaka giloki ema koro watimo kodi sani koso? A: kamano ekaka nwa timo, ndiyo desturi yetu B: anasema hiyo ndio desturi yetu mzee kama jambo lolote likitokea anakwenda anaulizwa Jan: mmh kwa mfano labda to mfano mzuri tuone B: kake ang’o ma kotimore ji dhi kuom jodongo? A: ooh wach piny kone ni wach piny B: machalo ang’o? A: ka piny dwa bedo gi tuo moro kake con ne tuo tucho ji kake diep, aruothi, koro idhi kuom jaduong’ to wanyalo konyo nade? B: anasema wakati wa zamani ama wao hata sasa hivi kitu inaweza ikatokea kama ugonjwa kama kuhara au Polio, ama smallpox sasa wanakwenda kwa mzee ndio wanamuuliza mzee jambo hili limetokea tufanyaje ama we unaonaje tutakwisha? Jan: sasa anaweza akatoa shauri gani kwa maradhi? A: ipo dawa yake, “ kone ni nitie yath mane wakonyo go” B: dhach adhach gi Kiswahili mondo ikone (laughing) Jan: ipo dawa kwa nchi yetu tunaweza kutengeneza ili ugonjwa huo ikapowa Jan: haha na wewe mwenyewe unayo ile dawa ya nchi? A: hakuna sisi hapa katika nchi yetu hapa alikuwa ni mtu mmoja tu ambaye alijenga hapa na ilkuwa anaitwa Kagose Jan: sawa nimeshasikia habari yake A: Kagose baba ya Odemba ndiyo mwenye nchi hii kama sisi tuna neno tunaenda kwa huyo mzee, tunakimbia kwa mji wake kwasababu yeye ndiye anajua kitu ambacho tunaweza kufanya si mimi Jan: aaah kwahiyo dawa ya nchi ni katika hii nyumba ya Kagose tu na wajukuu wake A: eeh yeye ndiye anayejua, mimi nakuwa kama mwalimu mtu akiuliza nani anaweza akajua hii neno la nchi, kwahiyo watu wanakuja kwangu lakini mimi sina dawa Jan: haha wewe uantoa ushauri tu A: haha mimi nakuwa tu kama mwalimu kwa kufundisha watu Jan: haha B: sasa na mimi hapo nakuuliza swali mpaka sasa hivi Kagose alikufa akamwachia Odemba na sasa Odemba na wewe unafikiri hawa sasa vijana hata watoto wa Odemba ni kweli wana uwezo wa kufanya vitu hivyo au yao hii wamefanya kama biashara A: iko B: tuambie nani, kama kweli iko A: watoto hao ambao walibaki kwa mji wa Odemba wanajua dawa Jan: mmh A: wanajua Jan: au mwingine anaweza akijitokea tu? A: wanaweza wakasaidia nchi tu Jan: wanaweza? A: eeh Jan: haha A: eni igowa picha B: tok achiel moro A: makoro aneno ongenyore angenya ewang’e Jan: lazima iwe kwenye laini ya Kagose mtu mwingine hawezi akajitokeza A: hakuna mtu mwingine, sisi tunajua watu wa Kagose tu, kama Kagose anakufa ni Odemba, basi Odemba akishakufa sisi tunaangalia watoto wa Odemba B: lakini mimi naona ni wengi wamejitokeza, sijui nani, huku na huku mpaka Buluwa huko A: kitu ambacho kinaharibu hii sasa ni pesa Jan: ooh ok A: pesa imeshakwisha kuwa kama dini, hata kama sisi tunakwenda kanisani ni mabo ya pesa ndiyo yanasemwa kam Padre nasema tu mambo ya sadaka na kutoa vizuri, sasa zamani ulikuwa kama una shilingi kumi ndio unaweka. Lakini kama watoto wa Odemba wengine wanafanya kazi Dar Es Salaam, wengine wako huko Marekani sasa pesa inaharibu maneno haya Jan: na wanafanya mambo ya dawa huko na huko? A: dawa ipo lakini pesa ndio inachukua watu huwezi kupata mtu anakaa kutengeneza dawa hiyo kwa maana watoto wankwenda kazini Jan: haha kumbe B: sasa kulikuwepo na swali, wewe katika hali hii vitu hivi kwa mfano vitatusaidiaje, mambo ya zamani na mambo ya sasa, mambo ya zamani yalikuwa nzuri sana au mambo ya sasa, wewe unavyofikiri wewe? A: mambo ya zamani ni mizuri Jan: mmh A: na mambo ya hapa/sasa yamechanganyana kwahiyo huwezi kusema ni mizuri kwa maana pesa ndiyo imechukua nchi. Kama siku hizi hauna hela kama mzee mimi hapa watu wanakuona kam vile umekwisha kufa. Jan: haha A: ndiyo nchi imebaki kwa hela/pesa Jan: na ni nini ambayo ilikuwa nzuri sana zamani ambayo umeona kwamba imeshaenda, nini ambayo ilikuwa ya maana? B: mambo ambayo ilikuwa mazuri ambayo sasa unaona imepotea? A: sisi kama zamani kuanzia udgo wangu hadi nakuwa kijana ktu ambacho kilikuwa ni kizuri ni kuzaa kama wewe ulikuwa unazaa watoto wa kike wewe unajua kuna mali kwasababu watoto hao utapata ng’ombe kwao kumi nane Jan: mmh A: hiyo ndiyo ilikuwa inatusaidia sisi Jan: mmmh A: na sasa hivi ninapozungumza na wewe hata kama watotowa kike watano unakwenda bure tu, ng’ombe mbili Jan: mmh A: iwuora ot kanyo kake adhach B: na wakati ule vijana walikuwa wanawasaidia wazazi wao kuliko sasa? A: sasa vijana wamekuwa waswahili kila mtoto hawezi akamwangalia baba yake Jan: haha A: wanatembea peke yao tu, to koro eni Zedekia mwabedo abeda kama ni to chiemo to B: wan wasichiemo kane wabiro, in wach chiemo kik dhagi Jan: sasa hapa naona wa Buturi wanakaa hapa na wanazungukwa na makabila mengine ya aina mbalimbali na zamani nilisikia mna vita na nini na siku hizi mnakaa kwa amani na wengine au inakuwaje A: watu weupe ndio walikuwa na sheria kama wazungu wamekwishasaidia katika nchi, mzungu alikuwa natangulia alikuwa anaitwa bwana Obilo Jan: haha A: yeye ndiyo alikuwa nashika ile mikuki ambaye watu walikuwa wanapigana nayo, kwahiyo hata kama nakwenda Kenya siwezi kufikiria kwamba mtu ataua mimi, mimi nitakwenda tu na kumaliza kazi yangu Jan: haha kwahiyo ilikuwa ukoloni ndio ilifanya watu wasipigane A: eeh wazungu ndio walikuwa wanatusaidia sisi kuacha kupigana na mikuki tunakaa tu na kuzungumza na mzungu anweka kila nchi na chifu wao sasa watu wanakaa vizuri halafu nyuma yake dini inaingia Jan: mmh A: sasa dini inaingia watu wanaanza kuomba Mungu sasa watu wanakaa vizuri Jan: haha B: lakini mzee hapo mimi sijaelewa vizuri hii mambo ya vita ilikuwa inatolewa na nini kwasababu gani, ilikuwa ni watu kutafuta nchi au watu walikuwa ni vita tu kwasababu walikuwa wanapenda kupiga vita A: kama ilikuwa sisi bado peke yetu, wakati hamna wazungu? B: eeeh A: kitu ambacho kilikuwa kinaleta vita wewe unaona sasa watu wanafuata mtama, wanasema wale walipata chakula kingi sisi tunataka kwenda tuanze vita ili tupate chakula chao B: kuwanyang’anya? A: ndio ilileta matata au ng’ombe, watu ambao walikaa karibu na sisi na wana Ng’ombe wengi, kesho yake tutapiga kengele yetu amabyo inaitwa “Oporo” tunakwenda kuanza vita na wao kuchukua ng’ombe yao B: sasa watu wengine walikuwa wanakaa tu wao kazi yao ilikuwa ni kwenda kunyang’anya watu wengine? A: kila mtu anakwenda na ngao yake kupata ng’ombe na kumletea baba yake au unakwenda kwenye ghala na kuchukua mtama kama baba yake anakuja nyuma yake na anakamata pale kwahiyo hiyo ndiyo ilikuwa inaleta vita. B: lakini kwanini hawakuweza kuwepo kitu ya kusema tuache vita kwanini tunapigana ili tufanye kazi na sisi wenyewe tupate chakula A: unajua watu walikuwa bado ni kidogo vilevile, kila nchi ilikuwa ni watu kidogo tu, ndiyo hiyo iliyokuwa kazi unayoangalia kuwa upate mali namna gani au chakula upate namna gani, hiyo ilikuwa ni kuchokoza tu kwa watu wengine Jan: mmh kwahiyo walipofika hapa wakakuta watu wamekwisha kaa hapa Buturi? A: eeeh Jan: ni watu gani walikuwa hapa A: Wazanaki Jan: haha kweli A: eeh nchi ya Nyerere ndio walijenga hapa, sisi tunaanza kupigana na wao na kuwafukuza, wanapita baharini na wanakwenda ng’ambo kwao Jan: wakarudi huko? A: eeeh Jan: haha A: na wengine wanakuja hapa ambao sisi tunaita wakurya, wasimbiti, warienyi sisi tunapigana nao tunawapereka huko karibu na bahari Jan: haha A: wanajenga huko B: hivi Wachanake walikuwa kwenye mlima gani? A: Wachanake ndio walijenga hapa wa kwanza lakini walianza kupigana na Warienyi, ndio walifukuza hao Wachanake na sisi tulipoingia hapa kutoka Kenya sisi ndio tuliwafukuza Warienyi Jan: mmh A: tunajenga hapa Jan: na Warienyi wengine wakamezwa na Waturi wakaendelea kukaa hapa kama wameshakuwa Waturi A: eeh kama sisi tulishakaa hapa tunaweka mipaka yetu na Wakurya na Warienyi, mipaka hiyo bado inaendelea mpaka sasa hivi Jan: mmh mlifanyaje kuweka mipaka A: iliwekwa ili huwezi kuchokoza watu wengine Jan: haha A: kila mtu anajua hapa ndio mpaka wetu Jan: lakini walijuaje? B: walijuaje mpaka wakaja kutengeneza hiyo mipaka? A: kane ka wazungu ose donjo epiny koro waketo mpaka mogik mang’ato kik idhi kiny ng’ato ni mayo gi B: yani wazungu walipoingia ndiyo walioweka mipaka Jan: haha B: anasema sasa ukuvuka mipaka na kwenda ng’ambo ile nyingine ni kosa Jan: lakini hao kwa mfano kama Warienyi walikuwa hapa sasa wakabadilika kuwa Waturi au wakaenda tu A: hao Warienyi tunawatoa na mikuki B: wakaenda Jan: wote A: sisi tunapigana na vita na sisi tunashinda hao Warienyi wankwenda huko karibu na baharí halafu sisi tunajenga hapa Jan: haha A: ito inyar kanye? B: anauliza wewe ni unatoka wapi? Jan: mimi nimetoka Amerika. A: Amerika ni nzuri sana kwa maana Amerika ndio ilitusaidia sisi kwa vita Jan: oooh sawasawa kumbe A: na uko kwenye dini gani? Jan: kwa Mennonite A: ma Kabwana misawa ni B: eeeh A: na sasa wewe unakaa wapi sasa? Jan: huko Marekani nafundisha histria huko A: unaangalia kama ile neno mimi nafundisha hii ndiyo kazi yako? Jan: huko mimi ni mwalima lakini kulekule Marekani lakini pia nafanya ili nipate historia ya nchi hii A: mimi nataka malipo yetu ambayo Uingereza walisema Jan: ya jeshi, eeh pole sana A: wewe piga simu kwa Waingereza ili tuweze kupata pesa Jan: eeh pole sana A: mimi nataka neno hiyo sana hata kama nilikuwa nataka kumsaidia mtu wa dini piga simu huko Uingereza, askari wanalia North Mara huko Jan: hawajapata A: bado kupata Jan: pole sana B: sasa mzee nilikuwa nasema, gi adwaro ni inyusa ing’e ni wan ka Matula, Kawakswaa gi Walowa kake ninyusa gino nyocha ofutere koro nadwaro ni inyusa mano kendo. koro wan kake Matula kake ne wabet kae gi Walowa mo bi mogik kuomwa ng’ani nonyuolo ng’ani to ng’ani nonyuolo ng’ane kake niwacho A: eeh mano oktek, jowuot Matula gi, gin ji adi, koro jowuot gi ka ng’ane gi ng’ane kawadhiwariwore gi Mswaa B: sasa ndio naomba unielezee hiyo A: koro Mswaa vende yowuote adi koro kaye wadhiwa wabedo gi jowout Otieno koro wabedo joka Otieno koro nyaka achak ni achaka joka Matula ni ng’ane oyuolo ng’ane okine ke en tich matek B: aah kon wa akone ni ng’ane onyuolo ng’ane, sisi ni watoto wa fulani, na alizaa watoto fulani A: tok asewacho kara madhia achopo koro idwaro ni adhi awach ni kari B: kake pile nyocha inyusa ing’e ni opogore kake nyocha wawacho cha, kani ni wacho ni Walowa koro nichako gi Mswaa, ni Mswaa ne en kama kama A: Mswaa ne poka awuoye in nawuoyo emane Matunda mani iwacho ni wabiro wuoye Miswa. Neno adhi ariwo ni mane Onyango owad gi Mswaa jowuot Ochieng, ta adhi aweyo ni OChieng’ owad gi Mlowa, koro Milowa ne en gi woude ni Ajang’a gi Ochieng’ gi Otieno gin ji adek koro waaye Milowa gi wuod Ochieng, to Ochieng’ obedo wuod Omolo, knayo Omolo emawariwore gi Kagwaa to koro kaaye Omolo tobiro wuod Oliti to Oliti wuod Potho koro Potho emoriwa wa ki Kanyuanya ema iluongo ni Chuanya. Potho koro wuode Oliti to Jo wuod Potho kanyo kanyo ema obede wuod Potho koro Potho odhi Obede wuod Ramogi Ajuang’ to en wuon Ramogi maduong’ to en en woud Awando kanyo emana agike B: sasa mimi nilitaka tu kwamba unajua sisi wa Buturi tuliokotwa (nokwanywa) koro chak na kanyo kibiro nyaka kuom wa ka. A: Tok asewacho Otieono tok en emana okuanye gi min B: Otieno ndiyo aliokotwa na mama yake A: to Otieno emaonyuola wa koro wapogore B: Otieno alizaa nani ( Otieno nonyuolo ng’a?) A: Miswaa gi Onyango B: Otieni alizaa Miswaa na Onyango halafu Onyango ndiyo amezaa nani tukiacha Miswaa A: Onyango alizaa Kigina, Mirere, gi Monda watu watatu B: Onyango alizaa watoto watatu, sasa ndio nataka uniambie kwamba mtoto wa Onyango fulani ni hivi na hivi hadi sasa tumefikia A: koro Onyango wuode maduong’ Kigina B: Onyango mtoto wake mkubwa Kigina A: kigina onyuolo dhi ang’uen B: Kigina amezaa wanne A: wuod Kigina maduong’ Apodo B: mkubwa alikuwa anaitwa Apodo A: woude mar thako mara ariyo Mikera, ne en gi mon adek B: mama yake Mikera alikuwa nani? Min Mikera ne ng’a? A: Nyakwe B: Nyakwe kutoka wapi? A: Nyakwe ok emin Mikera chi Kigina B: no nyar kanye? A: nyar Kisii B: alikuwa ni binti kutoka Kisii Kenya A: Apodo ng’ama jidichuu min mare Nyendo B: mama yake alikuwa naitwa Nyendo A: nyar ka Migundo Kenya B: wa kwa Migundo Kenya A: dhako mara adek Kitaklo B: mwanamke wa tatu Kitaklo, wa wapi? A: nyar Kisii B: binti kutoka Kisii, A: ene min Nyamgondo B: yeye ndiye alizaa mtoto anaitwa Nyamgondo A: mimi Tegwa alikamatwa kwenye vita B: sasa huyu ukoo wake Tegwa yeyé alikuwa ni mtumwa wa kushikwa katika vita A: kama mtoto B: alikuwa bado ni mtoto, Tegwa walikuwa wangapi, alikuwa na nani walioshikwa? A: no en rawera mana madhiny, ne gin ji ariyo, gi Malasa B: alikuwa na ndugu yake laikuwa naitwa Malasa A: na Malasa ndugu ya Kigina aliomba B: sasa walipokuja walikuwa watoto wawili Malasa, lakini ndugu yake Kigina alimuomba A: Weho wuod Miswaa ma woud wuon Kigina okwaye ni mia ma odhi okwa na B: sasa Weho mtoto wa ndugu yake Kigina ndiye alimuomba Kigina kwamba nipe huyu Kegwa aende anichungie. No kwayo ng’a A: nokwayo Malasa, dong ineno ko onywolo Ojwando B: si Weho ni Malaswa A: Weho wuod Miswaa koro obiro kuayo nyathi woud wuon gi ni mina nyathini odhi okwana B: hapo ni sawa A: Koro nyathino osike ukoo mar Miswaa okodogo e Kigina B: sasa huyu Malasa aliyeombwa kwa maana waliokotwa watoto wawili yeyé alikwenda kwa ndugu ya Kigina sasa yeyé bado yuko kule mpaka sasa na ni ukoo mkubwa Jan: mmmh B: sasa ukoo wao ni akina nani na nani? A: Malasa odhi onyuolo Ojwando B: alizaa Ojwando? A: Ojwando onyuolo ji adek B: Ojwando naye akazaa watoto watatu A: Miriandi, Nduri, Okuthe, watu watatu, mago e wout Ojwando, koro embe koro en mana kambi B: hata wao siku hizi ni kambi kubwa watoto wa huyo Malasa A: mana kata ka lweny to koro gin tayari B: hata kama ni vita sasa wako tayari kwa maana wamekuwa watu wengi. Sasa turudi sasa kwa Kigina A: ndugu yake Mirere B: Mirere ni ndugu yake Kigina A: eeh nyathi min gi maluo bang’e, Mirere onyuomo chiege miluongo ni Nyamgoye B: Mirere alioa mwanamke anaitwa Nyamgoye A: yeyé alizaa naye watoto wawili, wao wanakufa wote sasa mama ya Kigina na Mirere alikuwa anaitwa Mitula B: mama yao ndiyo alikuwa anaitwa Mitula? A: eeh, koro Mirere katho to okone min gi nia wuoye madhin emamondo oter chiega B: sasa Mirere alipokuwa anakufa alimwambia mama yake kuwa mimi sasa nakufa ke wangu ninamwacha hajazaa kwahiyo ndugu yangu huyu mdogo ndiye amchukue akae naye. Ndugu yake huyo mdogo alikuwa naitwa nani? A: Gimona, kae Gimona onyuolo gi nyako ni wuoyi B: akazaa naye kijana naitwa nani? A: Mirere, ochako chuor dhako B: Akiatwa Mirere, baba yake hehe A: Mirere koro onyuolo jowuote ariyo B: Mirere naye akazaa watoto wawili A: Otieno na Kirago B: alizaa Otieno na Kirago, tuchukue Otieno, yeye alizaa nani sasa? A: Otieno konyuol to onyuolo Riwa B: alizaa Riwa A: Osore, Kimaya, Makiri mago eya wuot Otieno B: sasa mama yao alikuwa naitwa nani? A: min ng’a? B: Min Osore gini? A: aah gito akamako gi maber B: hao jawashika vizuri, sasa watoto wa Kirago sasa? A: Opundo, Obonyo mago ejoka Kirago B: wao ni watu wawili, sasa tumchukue moja Opundo yeye ni watu wake ni nani na nani, watoto wa Opundo A: Opundo onyuolo Oreko, Odhiambo, Obonyo mago ejo wuot Opundo B: hao watoto wa Opundo, na watoto wa Oreko? A: Oreko jowuote ariyo, Opundo gi Odira B: Oreko amezaa Opundo na Odira A: kaye wuoyi machielo ni ma owad go Opundo ni nyinge dwa rwenya ka B: na kuna mwingine amemsahau Jan: hawa watu bado wapo? B: gi ngima gi te? A: eeeh jok masani to ngima ila jok machon to no dho B: wale wakubwa walikufa wote A: watoto wao ndio wamebaki B: akina Odira hawa ndio wamebaki, koro no wan ka Mirere A: koro wadhie e Gimona B: sasa twende kwa Gimona A: Gimona monde awuchiel B: Gimona alikuwa na wanawake sita A: chiege madung’ Miluani B: mke wake mkubwa alikuwa anaitwa Miluani, sasa Miluani yeyé amezaa nani na nani A: Miluani wuode achiel iluongo ni Waerjwa B: yeyé alizaa kijana moja tu anaitwa Waerjwa A: Waerja obiro onyuomo mon ariyo B: Waerjwa yeyé akaoa wanawake wawile A: Wandiji gi Odumbe B: Wandiji mwanamke wa kwanza na Odumbe mwanamke wa pili A: koro Wandiji emo nyuolo Makunjo B: sasa Wandiji yeyé alizaa Makunjo A: gi Gimono B: na Gimono A: watu wawili, basi chiege mara ariyo cha onyuolo wuode ni Ramra B: mwanamke wa pili amezaa Ramra Jan: Na jina lake mwanamke? A: not very clear B: na Ramra yeye amezaa nani? A: Ramra alizaa Msangia B: alizaa Msangia na nani? A: nyathi Msangia? B: haha mtoto wake mwingine? Mtoto wa Ramra mwingine? A: gi Sigungu B: Sigungu, peke yao. Sigungu naye amezaa nani? A: Msangia B: Sigungu naye amezaa Msangia A: na Sigungu ochako wuon go B: na Sigungu tena ameita jina la baba yake Jan: mmh A: koro Msangia onyuolo Oyugi B: Msangia yeye kazaa Oyugi A: koro Oyugi obiro onyuolo Ramra gi Magombe B: Oyugi akazaa Ramra na Magombe A: Koro chiege machielo miluongo ni Nyomundo B: mke wake wa pili anaitwa Nyomundo A: onyuolo jowuoyi ariyo miluongo ni Raruoch na Andito B: alizaa Raruch na Andito A: basi kanyo atieko ni joka Migai, koro kata kidwaro od Wandiji Jan: Wandiji A: Wandiji cha ne akasewacho Makunjo B: makunjo na Gimono, sasa Makunjo yeye alizaa nani na nani A: Otieno gi Okumu B: Makunjo alizaa Otieno na Okumu na nani tena? Nyithi Otieono to ng’a? A: Misolo gi Atito B: gi ng’a machielo? A: gi Akande B: wamemalizika, girumo? A: joka Otieno, pod odong‘ ng’ane ne woud Omuga ni yaye B: baba yake Omuga ni nani? Basi ukisahau acha hiyo. Sasa turudi kwa Okumu, nthi Okumu to? A: oooh nyithind Okumu Nyamlonga ooh nyithinde hin Onduru gi Owino gi Genga gi Wareta B: watoto wa Okumu ni Onduru, Owino, Genga na Wareta A: bende gin ji ang’wen B: hehe A: kamano mago joka Okumu (interruption) Jan: sasa mzee ulisema wakati wazungu walipoingia kafanya Machief lakini pia ulisema zamani kabla ya wazungu mlikuwa na watu hawa ambao waliongoza na dawa kama Kagose, sasa ulipoona walipofanya Machief walifanya vizuri au Machief wengine walifanya vibaya vibaya A: kone ni piny oluoro mana Kagose kech en eja telo gi B: ansema wao machief walifanya vibaya maana watu bado walikuwa na imani na Kagose kwasababu ndiye aliyekuwa na dawa A: ene emiwinjo wachne B: yeyé ndiyo walikuwa wanasikia maneno yake A: koro ka Wazungu ose donjo epiny koro okone Kagose ni in e Ruoth lweny Orumo B: hata wazungu walipoingia bado walimwambia wewe ndio bado mkuu na vita imekwisha watu wasiuane tena A: wuone jogi koro lweny orumo B: uwaambie watu wako kwamba vita imekwisha Jan: mmh na Mchief waliyowekwa walikuwa watu wazuri au A: kone ni Kagose koro oketo woude en koro e rutoth B: Kagose yeyé aliweka kijana yake A: anaitwa Aogo Jan: mmh B: to Aogo to bende no enng’a makare kaka wuon mare? A: Aogo no go j imago to koro wandiko nang’o? B: haha ma wapuonjore A: Aogo nawinjo negoyo ji B: anasema Aogo hakuwa mtu mzuri yeye alikuwa anapiga watu hakufata uzuri wa baba yake Jan: mmh kwanini? A: yeye alikuwa Chief anafanya kazi na nguvu yake ya chief, yeyé aliona kama anapiga watu ndio watu watamwogopa Jan: mmh kwahiyo walipata nguvu upande wa ukoloni kwa kupiga watu labda zamani hawakuwa na hii tabia watu B: owacho nia ang’o momiyo nogoyo ji kech nokawo tabia kake wazungu negoyo ji? A: eeh koro nokawo teko kuom Ujerumani, emane okuongo epiny wa ni. B: ansema yeyé aliendelea na mambo ambayo wajerumani walikuwa wanafanya Jan: mmh B: halafu nani akafuatia? A: owad gi ma Lanya B: halafu akamwachia Lanya ndugu yake mtoto wa Kagose, halafu nani? A: Lanya otiyo to nokia Kiswahili B: yeye Lanya alifanya kazi lakini alikuwa hajui Kiswahili, Sasa ukisikia kati ya Lanya na Oogo nani aliyefanya kazi vizuri? A: Lanya koro notimo maber moloyo Oogo kech koro noweyo go ji B: koro ofuato chik woun, yeyé anasema huyu chief wa pili Lanya yeyé aliacha mtindo wa kupiga watu wa wajerumani ila alirudia mtindo wa baba yake kwa kuzungumza na watu Jan: na hiyo ndiyo ilikuwa vizuri watu wakizungumza na watu au uongozi wa zamani ulikuwaje uzuri wake? B: Openjo nia ere telo mane jo oero mar riko ji kos mar wuoyo gi ji A: nene ng’iyore gi tich ng’ato koro Lanya bang’e ogole kech nokia Kiswahili koro eket Ngeri B: koro openjo nia tero mar Lanya ni eto ere gi momiyo nober, ekind telo mar Lanya go telo mane koro wazungu okelo ere mane iwinjo ni ji no ero? A: Lanya koro otio ka Lweny mokuongo ka uingereza oriembo jo Ujerumani koro Uingereza nok dwar ruoth ogo ji oyuma kang’ato okoso iwinjo wach mokoso iyale B: sasa anasema Lanya yeyé alifanya wakati Uingereza walishaanza kuja hapa wakati wajerumani waliposhakwenda, sasa yeyé alikuwa anafuata Waingereza walivyofanya na kufundisha watu, wao wameingia kufundisha watu A: kan’ga mokoso iwinjo wachne momiyo ruoth omake, okoso kosa gani B: mtu akifanya kosa anaitwa na mashaidi analetwa wanakaa chini sasa kama baraza na wanaangalia amekosa nini? Jan: mmh sawa hii ulisema wazungu walipoingia walifanya watu hawapigani tena na siku hizi bado unaona ukabila inaleta vurugu au hii yote imeshatoka? A: kone ni wach masani tokoro wafuato chik mar jotelo mane wazungu opuonjo wa onge matata koro B: anasema sasa hivi watu wanafuta hizo sheria ambayo iliachwa na wazungu, mambo ya matata imepungua sasa Jan: haha lakini bado ipo ingawa imepungua? B: pod nitie moko matimore? A: onge B: yeye anasema hakuna Jan: hakuna kabisa? A: kone ji obet mana kang’io sheria mar bura B: anasema watu sasa hivi wanaogopa kumpiga mtu kwasababu ya sheria Jan: haha ya serekali sasa? B: yeah ya serekali A: koro gi marach mwaneno ni aheri ya askari ndiyo imepotea ndiyo kitu mbaya B: sasa hiyo aheri ni ya wewe ya mtu mmoja na mwingine, je watu unavyoona wao unaona hakuna kunyang’anyana A: kone to negi wacho nwa nang’o wach aheri ni, kach ekosa maen tie epiny wa ni B: kanyo kosa e serekali wa? A: serekali mar loch marwa ni B: yeyé sasa anasema kuna makosa mengine ambayo serekali yetu imekuja kufanya, kwamba kitu inaweza kusemwa lakini haitekelezwi Jan: mmh B: wanasema tu kitu lakini hawafanyi, kwa mfano kama aheri yao hiyo walisema watapewa lakini hawakupewa kitu chochote A: kech dhano mane odhi e lweny dhoth kagowingo to gi dhi eboma mar Tarime, ti ichako ikone gi ni kel uru pei buk mar u, watero pei buk mowachiwo elfu gi mia bich aya dog uru pacho mondo koro bi or nu pesa mpaka sasa hivi B: waliambiwa kwamba watapewa lakini mpaka sasa hivi hawajapewa A: koro in mindiko ni wewe nataka upige ripoti kwa Uingereza Jan: lakini hawatanisikia A: kwa maana wewe unakuwa kama mwalimu, sema watu wa Buturi wanalia sana, wilaya ya Tarime Jan: pole sana lakini nikisema sina sauti huko A: haha we kama unasema watu wanasikia, kama unaogopa Uingereza uliza Kikwete sababu sauti yako inalia Jan: hata Kikwete hatanisikia A: wewe utatusaidia sisi namna gani, si ni mambo kama haya unayoandika unasema mimi ni mzee nilipigana vita na bado sijafa lakini mimi nalia kuwa pesa ya askari yao ilienda wapi? Jan: sawa sawa na baada ya vita uliporudi ulifanya nini hapa A: mimi nakaa tu naangalia miji yangu Jan: ulirudi ukaoa? A: haha mimi nilikwenda vita kama nilishaoa Jan: aah na watoto ulikuwa nao? A: haha watoto nilikosa B: amekuja kuoa tena A: kama natoka vita nilianza na wanawake wanne naongeza mmoja sasa wanakuwa watano Jan: haha uliporudi ulisaidia mambo ya kupata uhuru uliingia TANU au ukafanya nini? A: TANU ilipata kama mimi nilishaoa mke wangu wan ne nyuma ya wale niliwaacha kama naenda vitani Jan: kwahiyo hukuwa kwenye hii ya kujaribu kupata chama B: in e chama nokibede? A: kama mimi nilirudi hapa nilikuwa balozi Jan: balozi? A: nafanya kwa miaka ishirini, natoka kwa ubalozi naingia kwenye kazi yetu ile ya uhuru kama wazungu wakishakwenda, sasa naacha balozi naingia katika mwenyekiti wa usuluishi B: usuishi means kufanay kama ushauri kama watu wanagombana anawaambia msigombane A: kutoka usuluhishi naingia kwa jadi, naangalia wale vijana wajanja wajanja ambao wanachukua mali ya watu, hapo mimi nilifanya miaka tatu B: jadi ni kama mabo ya kimila ya zamani Jan: haha B: sheria ya kimila ya zamani kwamba wao wanafuata kama mtu akivunja hiyo anaadhibiwa A: halafu mimi ninafanya kwa jadi hiyo miaka tatu halafu macho inaanza kuharibika kwahiyo ninaacha (interruption) Jan: na ilikuwa inaitwaje? B: Kiwasi Jan: sasa mnafanya sherehe Fulani ili upate hii au unapata tu A: haha ipo fundi ambayo inatengeneza B: anasema kabla hujapata ndiyo anauliza, ulifanya kitu au siku ile unaipata unafanya sikukuu fulani au unanunua tu A: hii ulipata tu kama maradadi yangu, kama unakwenda mtu anakufa nakwenda naye kilio Jan: kwa mfano nilipokuwa huko Serengeti wao wanapata lakini wanafanya sherehe fulani wanaua ngombe, wanaita Nyangi B: owacho ni jomwaa maloka katimo kamano, wan joluo waonge mano? A: wan waonge mano B: wan mane mawan godo? A: wan wan mana gi ng’ato ka ng’ato ose bedo jaduong kake an ni idwari ni obed gi Kiwaso makato ko lounge kong’o kuma nyasi nitie todhigo kata ka ng’ato odho mo dhi ywago odhigo B: to wan joluo ere gi mane iketo igo ekom manyuso ni kawuono ng’ane obede ekom obedo ng’a mang’ongo A: wan ni keto wa gi maradadi lau mar pien chiaye to kor mano ne lang ofuta B: chieng’ mane iruako ni kate chieng’ mane idhiruako nigo itima ang’o? A: to nitimo kong’o ni kawuono ng’ani wathi kete kong’o ibedo kata ki pien ting’ monyong’mayom koro imeruako gi kiwasi ni ng’ani e jaduong tindenene oluongo wa wadhinene edala ne B: wao walikuwa wanafanya siku ambao ukitakiwa yani ionekane siku ambao wewe sasa ni mzee kulikuwa na ngozi kama beberu mbuzi mkubwa sana au ngozi ya nyamera iliyolainishwa halafu unavaa na hii kiwasi halafu siku hiyo na pombe inafanywa sasa siku hiyo inaonyesha kwamba leo mzee fulani amekuwa mzee na ametukaribisha vizuri Jan: na ni anakaribishwa? A: kone ni jogweng’ gi B: wote wa ukoo huo wanakaribishwa na majirani walikuwa wanaitwa kuja kula na kusherekea Jan: lakini hakuna dawa fulani ya wazee wa rika yako wanakupa? A: haha kwa sisi hapa mtu wa dawa ni mtu mmoja tu, yule Kagose tu na wazee wengine wanawekea kwa maneno tu ya kungojea jirani yake, ukoo yake Jan: haha ulipokuwa na hii kazi ya kijadi na usuluhishi, hii ilikuwa kazi ya serekali au ya waturi tu? A: ile balozi nilifanya kama iko waingereza bado ipo, kama sisi tumeshapata uhuru ndiyo nakuwa mwenyekiti wa usuluhishi kutoka hapo maneno nakuja eti nataka jadi kuangalia hii ndiyo nakaa kwa jadi tena nakaa kama mwenyekiti B: sasa nakuuliza je kwani hiyo ni ya serekali au ya kienyeji? A: aah ni ya serekali Jan: haha na mlikuta ni tatizo gani ambayo mlipata? A: kama mwenyekiti wa usuluhishi tulikuwa tunangoja watu wale na makosa ndiyo wanaleta ripoti kwa mimi unaangalia kosa yao halafu nikaacha hiyo naingia mwenyekiti wa jadi nasaidia hii kama mtu iko mbaya ile waswahili wananyang’anya watu mali wanakamatwa na nampa adhabu Jan: haha watu wa Buturi wakienda huko kuiba au? A: kwa kijiji yetu, unajua hapa Buturi kuna kijiji tatu kuna Oliyo na Kasino na hapa Kamatula tunaita Rabuor, sasa mimi naangalia watu tu wa hapa Rabuor hakuna kuingia Oliyo B: lakini mzee unakumbuka nini ya jadi chini ya Odemba ile sauti ya wazee si mlikuwa mnaenda kukaa na Odemba? A: ilikuwa kama bado Odemba yupo ndiyo anaangalia kijiji tatu hiyo yote Jan: haha mlikuwa washauri wake A: eeh lakini sasa kama Odemba amekufa wanachagua watu wa jadi, ni watoto siku hizi sikubali mtu mkubwa kama mimi nizungumze kama mimi nabeba mkono wanasema mzee kaa kaa hii neno si yako basi sasa hii inabakia watoto Jan: hawana heshima kwa wazee? A: aah sasa hakuna heshima Jan: sasa huyu mzee Siso akitoa historia yake ameandika na watu hapa wanaweza wakanunua na kusoma, itawasaidia? A: sijui, hiyo huwezi kujua, ile Siso aliangalia neno kwa mimi na anakaa nayo kumbukumbu yake kwa watoto wake Jan: sawa wewe unafanya kwa mdomo kama unawaambia watoto wako nini, lakini ikiandikwa ni vizuri au? B: kawachni ondiki ebuk mar jiduto bedo marach koso bedo maber? A: bedo maber kech ng’eyo piny kila ng’ato dwaro, ila tamo mana ji B: anasema kujua mambo ya nchi watu wanatamani lakini jinsi ya kupata ndiyo wanashindwa kwahiyo wakipata kitu kama hii watu wanafurahi sana Jan: hata vijana siku hizi wanapenda mambo ya zamani au? A: wanataka wakiona mimi mzee wanasema kuja na kitabu uonyeshe mimi neno ya hii lakini hapana kuja A: kone ni ji mang’eny gombo mana ng’eyo wachni totemi mondo Obed kate e skul emotamo gi B: anasema sasa wengi wanataka lakini kufanya ndiyo imewashinda lakini wanatamani anataka na yeyé awe anasoma anajua Jan: sasa mzee wewe ulisema wewe ni mturi wa hapa Buturi lakini kwa lugha nyingine wewe ni mjaluo sasa unaona kama kuna kugombana kati ya hawa ambao wanasema kijaluo na hawa ambao wanasema lugha ya kibantu au wote ni amani tu? A: kone ni wadak maber B: anasema tunakaa vizuri A: hakuna matata Jan: na hii inasababishwa na nini ni serekali tu au watu wenyewe? A: ni serekali ndiyo sisi tunangoja maneno yao Jan: haha hakuna kuoana au kuwa na mawasiliano kati yenu? B: topenji nia koso nyuomruok medo kelo kwee mar piny? A: kone ni nyombo onge, sisi kama mimi naona mambo ya zamani na mambo ya sasa nalia sana mimi Jan: kwanini? A: kwasababu kama mzee una mtoto wako wa kike unapata ng’ombe unasaidia yeyé, sasa siku hizi ng’ombe mbili ni kitu gani mtoto anakwenda bure A: sasa wewe ni mwalimu, unatembea unataka jua mambo ya nchi kila pale, hapa ya kwetu hapa tu ndiyo unaandika? Jan: nilikuwa naona yeyé ameshafanya utafiti mzuri sana kwahiyo nilikuja kusoma ile aliyoandika A: obiro kano gi kigik mano duol maber makata koyaune ji ilie waturi to nyalo winjo? B: eeh ji nyalo winjo kibuk ibiro gol kwahiyo jok maduaro somo bende nyalo somo {THE END OF INTERVIEW # 4, DONE NYAMUSI MAGATTI}

Show Full Transcript Download Transcript PDF

Field Notes

Interview #4 Alexander Ogoche Ayo With Zedekia Oloo Siso, Buturi, Ogoche’s house, 25 July 2007 Folder A DS 400024.WMA audio Video #4 and #5 Still photos of interview and man and his wife, wives afterwards Alexander Ochoche son of Aayo, son of Obunge, son of Waligi, son of Tegwa, son of Kegina, son of Onyango, son of Otieno Nditi, son of Mlowa. Mlowa had three, 4 children Miswa, Onyango, Ochieng, Otieno. Father of Mlowa was Ochieng. From Omolo. Siso asks whether he, Ogoche, is the generation of his grandfather or his father. He is the son of your grandfather. Life history – he went to Geita to work in the mines as a youth. Then other mines in Musoma. Then to WWII, 1939 fought the Italians and in India, Rangoon Burma fought the Japanese. Was there for three years. He was in company 29 brigade. Fighting for the wazungu was bad. Soldiers didn’t get their share. Not paid their pension after. Siso asks who was it that taught you history. Taught by father, who was taught by his father who was taught by his father. History taught to children. Then the schools and the padres came from Nyegina. They got Christian names. Our chief Odemba took the children to schools. Nyerere is in the same age set as Ogoche. But Nyerere went to school and he did not get the chance. So as a child learned about the old things, not in schools. This was my education when I couldn’t go to school. Like Zedekia is doing now to learn about the past. What does history do for you? It is our desturi, our inheritance. Do you use history to solve particular problems? This is our desturi to do this. Consult the wazee. What is an example? When there was a disease or an epidemic then they would come to ask the wazee what to do. Maybe small pox or polio or something else. Then they will be given advice to go find the medicines, the dawa to solve the problem. Dawa ya nchi. There is only one person who has the medicine of the land, dawa ya nchi. That is the one who brought us here with medicines, Kagose. Must come from his line. Kagose gave the medicines to Odemba but who is it after that? Who has inherited it? What is destroying the country is money – pesa. It has become like a dini. Even a church. Everyone wants money. Some of the sons of Odemba do medicine for money. So they don’t stay here in Buturi but go to other places. Make dawa. How will the things of the past help us today? The things of the past. Today things are mixed up. Don’t respect old men now. The problem is kuzaa. Girls go without bridewealth. But you will not get it these days (pregnant young girl in the kitchen laughs and chides him). Young men go out on their own and do not take care of elders. Wars in the past. The white people kept people from fighting anymore, stopped it. Bwana Obelo stopped them. But they put in chiefs then religion came. Siso says but why did they fight? Before the wazungu came because when there was famine they would see that other people had millet and would go an steal it from them. If they had cattle and you didn’t they would go and take it. They had shields and spears/. They went to steal cattle. No peacemaking. Only a few people here at the time. The Zanaki were here first. They lost the wars and left. Also the Kuria, Simbiti and Irienyi lost. Boundaries were made and the wazungu put them in. then we threw out the ones who lost the wars and they left. He then turns to me and asks me to call England and get their pensions for soldiers. Siso takes him through a geneology of one side, Kegina, son of Mlowa. Is written on the paper notes. One leader of a clan was adopted in war, captive. Each one a few wives. The one who was adopted, Malasa became a large clan. Leadership – chiefs were bad. People still believed in Kagose and his medicines. The wazungu came and they said that no more wars. Kagose put his son as chief, Ogo. He was not a good man, he did not follow his father. He hit people. He followed the tabia of the Germans. After him was Lanya as chief. He was a doctor but did not know Swahili. He did not hit the people but went back to the ways of his fathers. Example – he talked to people. Lanya was when the English were here. They taught people and we sat in the baraza to counsel. Still tribal conflict? No so much less because there is law now. Other problems? Government does not give the soldiers their pension. Government does not carry through on their promises. Told they would be paid but have not been. TANU? Married and had 4 wives. Balozi here for 20 years. Then Uhuru came. Was in the cheo of Usuluhishi. Then as Jadi ya Kimila. Go after thieves and those that break the law. 3 years in that. 3 years in next. Black tail that he carries is to signify that he is an mzee. A big goat is slaughtered and the skin used to make a robe. A cow is killed for meat to feed all the neighbors. Lots of beer. Buturi is made up of 1) Oliyo 2) Makongoro 3) Rabuor Counselors from each section to work with Odemba. Advisors. Don’t know how to read so couldn’t read the book of history. It would be good because everyone wants to learn it but don’t do it. They say they will come but don’t. Son made a tape of his words. Luo and Bantu people? Only the serekali makes peaces between them. Children learn in school, they marry each others. They are close them. No wealth now. No bridewealth for the father. Daughters go freely. He asks me about what I am going, helping Siso to do this work. This book will have a big voice. Others know this information even more than I do. …

Show Full Field Notes Download Field Notes PDF

Related Items (Vitu vinavyohusiana)

Record Imagery
Photograph

Photograph 1 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 2 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 3 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 4 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 5 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 6 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 7 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 8 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 9 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 10 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 11 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 12 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 13 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 14 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 15 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 16 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 17 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 18 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 19 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 20 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 21 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 22 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 23 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 24 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 25 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 26 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 27 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 28 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 29 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 30 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 31 from an...

Record Imagery
Photograph

Photograph 32 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 33 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 34 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 35 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 36 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 37 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 38 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 39 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 40 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 41 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 42 from interview...

Record Imagery
Photograph

Photograph 43 from interview...